Ndugu zangu kabla ya yote ningependa tuuendeelee kuvumiliana na kiswahili kilicho tumika kwenye mada hii kutokana na mwandishi kidogo ana tatizo la kimatamshi lakini somo linaeleweka karibuni tujiunge na ndugu yetu Komandoo kwa mada nzuri karibuni
Sababu mbalimbali za kujiajiri mwenyewe
Katika point nyingine kwenye haya maisha, kila mtuanapenda sana kujiajiri, ni wachache sana ambao ukiwauliza watakuambiahawapendi kujiajiri, Hata wahanga wakuu wa kuajiriwa still wanapenda sanakkujiajiri,
Unajua ni kwa nini? Kuna sababu nyingi sanahuwa zinawavutia watu kujiajiri wenyewe
Hakuna kukimbizana na Haice za Dar au Arusha aukokote kuwahi Offisini
Wakuu nazani tunafahamukero kubwa sana tunayo ipata asubugi ya kuwahi kazini, foreni ni za kufa mtu narazima uamke mapema sana, ili basi uwahi kufika Offisini make ukicherewa kufikanapo ni shughuli pevu sana, unakumbana na barua za onyo, Ila ikiwa na biasharayako huwezi kuwa na presha ya kwamba utafanywa chochote ukichelewa,
Hakuna kupangiwa nini Uvae
Ni ukweli kwamba kampuninyingi sana zinawapangia wafanya kazi wako nini wavae hata kama mivao hiyohuipendi inabidi uvae, siwezi taja ila tutakuwa tunajua kuna kampuni ambapoukifanya kazi ni sawa uko Secondary, make huwezi vaa unavyo taka,
Vipiukiwa umejiajiri mwenyewe? Utajipangia nini uvae na siku gani, kama ni mpenziwa jinsi itapiga njinsi za kutosha
Kujiajiri mwenyewe saa zingine kutakunyimasecurity Fulani
Nofixed income, no air time, no medical allowance na kazalika, lakini hivi siishu kwa sababu hata siku ukifukuzwa kazi utavikosa kwa mara moja
NoMore Vacation Days
Mkuu hapa hakutakuwa naVacation tena ingawa ukijiajiri mwenyewe ni rahisi kujipangia mapumziko, naingawa hapa utarazimika kufanya kazi kwa muda mrefu sana, lakini usijari ni kwafaida yako hata kama hulalim bado ni poa kwa sababu ni kwa faida yako, Hapaunaweza ku adjust ratiba zako mwenyewe ili uweze ku meet demand za familia makekuna wakati utarazimika kuwa na familia yako, hata kama kuna sehemu kuna mkeshawa Bendi Fulani au mechi, au Disco, unaweza ennda na ukakesha mpaka saa kumiasubuhi, Vipi ukiwa umeajiriwa utaweza?
-Hakunamshahara wa ziada
Hukutakuwa na nyongeza ya mashahara auBonasi Fulani, hapa ni kwamba masaa yako yote utayatumia kwa kazi zako, ilaukiwa mjasirimali utaweza kupata kile unacho taka kupata, ukiwa majasirimaliutaweza kudetermine thamani ya kazi zako,
-Unakuwana uwanja wa kufanya mengi
Ukiwa umejiajiri mwenyewe utaweza kufanya mambo mengi hata kwa wakatimmoja, kama unauza Nyanya unaweza ongeza na vitunguu, kama unauza mcheleunaweza ongeza hapo na mafuta ya kupikia, Kama unafuga Kuku wa nyama unaweza anzakufuga na kuku wa mayai
Je ukiwa umeajiriwa kuuza Nyanya unawezaongeza chochote hapo? Jibu na hapana ni mpka Bosi wako akubali au apendezwe,
-Kipatochako hakitakuwa na kikomo/kitakuwa unlimited
Ukiwa umeajiriwakuna limiti ya kipato chako hata kama unaingizi kampuni kiasi gani, Utakuwa namshahara unajulikana na utakuwa na Bonasi zingine zinazo julikana
Ila ukiwaumejiajiri mwenyewe unaweza kuwa na uwanja mpana sana wa kipato chako na hakinampaka, unweza kuwekeza katika miradi mingi sana kadri utakavyo
Ukiwa umejiajirihuhitaji kuuliza mahsibu kama ameingiza pesa au la, pesa utakuwa nayo muda wotena utatumia kulinagana na mahitaji yako ya kibaishara,
Hutahitajikumuomba Bosi bonsai au Nyongeza ya mshahara; ukitaka kipato zaidi uataongezainvestment zako,
Ukikuwautaweza kuwaajiri wengine
Ndoraha nyingine hii, Ukiwa mjasiriamali utaweza kuajiri wengine kadri unavyotaka,
Ukionaumelemewa na kazi utaajiri mtu wa kukusaidia, Je ukiwa umeajiriwa utawezakuajiri? Ukilemewa na kazi utaweza tafuta wa kukusaidia? Jibu ni hapana
UtajipangiaRatiba zako mwenyewe
Hapaunaweza kujipangia, Uamke saa ngapi, Ule sangapi, utoke kazini saa ngapi, hiini sahihi kwa sabaubu maisha yako kwa sasa ni kazi yako,
Hivini vitu ambavyo huwezi kuvifanya ukiwa mfanya kazi, Huwezi amka muda uno taka,kutoka ofisini muda unao taka na kazalika,
Unaweza kuwa na chaguzinyingi sana za vitu vya kufanya katika maisha yako,
Unaweza kuadjust kazi yakoiiiiiendane na maisha yako, kitu ambacho huwezi fanya ukiwa umeajiriwa makehapo unapangiwa cha nini uafanye na kwa wakati gani
Hapa utakuwa unafanya kazikwa Bidii kwa faida yako wewe, familia yako, Ndugu zako na Rafiki zako,
Unweza kuadjust maisha yako yaendane na haliya uchumi wan chi,
Kamahali ya Uchumi ni ngumu sana unaweza ku adjust miasha yako, Cheki sasa ukiwamfanyakazi, ukija mfumuko wa bei wafanyakazi ndo wahanga wa mifumuko ya beimake wafanya biashara wao wana adjust fasta biashara zao ili ziendane na haliya uchumi wa nchi,
-Unwezafanyia kazi kipaji chako-
Kamaunakipaji cha Kufuga utafuga sana, kama unakipaji cha kushona nguo basi utawezafanya hivyo bila shida,
Mzikiuko kwenye kuajiriwa- hapa unarazimika kufanya kinyume na kipaji chako au hobbyyako, Engenea unaweza mkuta benki, unaweza kuwa una degree ya ufugaji nyukilakini wewe ni mhasibu,
Uttapata thamani ya ulicho kifanya.
Kila unacho fanya basi utapata thamani yakewewe mwenyewee
Utakuwa unafanya kazi kutengeneza matokeona sio kufurahisha wengine
Mara nyingi sana wafanyakazi tunafanya kazikwa bidii sana kufuhisha waajiri wetu, tunapiga kazi masaa ya ziada hata kamahatulipwi kitu, haina shida ili muradi bosi anafurahi sana
Ukiwa na kazi yako hufanyi kumfurahisha mtubali unatengeneza matokeo,
Unweza Kuingia Ofisini na kutoka
Hapa unaweza fanya kazi siku 3 kwa wiki, na hakuna wa kukuuliza
Unaweza Bandika/kupamba ofisi yako unavyo taka wewe
Unawezabandika picha za MAN U, AU MAN CITY,katika ofisi yako, ila ukiwa mfanya kazihuwezi fanya hivyo, na hapo utakuwa unatafuta matatizo
UTAKUWA BOSSI
Hutahitaji kufuata policy na miongozo mingine ya kaziniambayo inaweza kuwa imewekwa na mtu wa MBA ambaye hajui chochote kuhusu Madawaau Ufundi
Utakuwa Tajiri.
source komandoo member of jf
Hapo ni ukweli mtupu,mie nimejiajiri naona raha niajeeeeeeeeeee.big up!
ReplyDeletethanx to me and kwa my friend komandoo
ReplyDeleteni kweli
ReplyDeleteYeah victor karibu tena
ReplyDelete