Home
▼
Choma Meli moto/Burn the boat
maana ya kuchoma meli na historia kidogo ya msemo huu
- Hapa ni kuachana kabisa na vishawishi vyote vitakavyo kufanya Urudi Nyuma, WAGRIKI WALIKUWA WAKICHOMA MOTO MELI KWA SABABU ZILE MELI ZILIKUWA ZIKIWATIA UVIVU WA KUPIGANA NA WALIKUWA WAKIPIGANA HUKU WAKIJUA WAKISHINDWA TU WANAKAMATA MELI ZAO,
- SO WALIVYO KUWA WAKICHOMA MELI MOTO TIYALI WALIKUWA HAWANA NJIA MBADALA YA KUISHI ZAIDI YA KUPIGANA HADI WASHINDE VITA,
Hivyo basi katika KUCHOMA MELI MOTO, vile vikwazo na vishawishi vyote ni kuvichoma moto, Mfano
1. Kuachana kabisa na Marafiki wasio kuwa na lengo zuri na wewe na wanao kusaidia kutumia tu,
2. Kuachana na Starehe zisizo kuwa za msingi, Hapa unaweza Piga ban starehe kwa kipindi fulani
3. Kukaa mbali na watu unao fikilia wanaweza kukushawishi uachane na biashara na uajiriwe
4. Kuondoa machoni mwako vitu vyote ambavyo unafikilia vinaweza kukushawishi urudi nyuma
5. Unaweza kubadili namba yako ya simu. WHY? KWA SABABU WAFANYAKAZI WAKO/WATU ULIKOKUWA UKIFANYA NAO KAZI WANAWEZA WAKAWA WANAKUPIGIA NAKUKUPA STORY MPYA ZA KAZINI KWAO IKIWEMO KUPANDISHWA MISHAHARA, KUONGEZEWA MARUPURUPU NA KAZALIKA, hhzi story zinaweza kukufanya uachane na mpango wa Biashara kufikila kazi za kuajiriwa,
NA UKIACHA KAZI KWA MISINGI YA KUJIAJIRI BAADAE UKASHINDWA UKARAUDI TENA KWENYE KUAJIRIWA HUTAKAA UTOKE TENA HUKO NDO UTAFIA HUKO
SO HAIMANISHI KUGOMBANA NA WATU NO ILA NIKUONDOA MACHONI MWAKO VISHAWISHI VYOTE VITAKAVYO FANYA URUDI NYUMA
No comments:
Post a Comment