Home
▼
The Best Time to Start your own Business?
Wakuu watu wengi ukiwauliza Ndoto zao Ni kuanzisha Biashara, ni kuwa huru , ni kuachna na kazi na kuwa bosi mwenyewe,Na watu wengi kikwazo chao huwa ni pesa na si kitu kingine kile, Mtaji ndo huwa Tatizo kuu,
Ok tuache hayo, Hivi ni upi muda maalumu wa kuanzisha biashara yako? Wakuu hapa kuna njia za wakati mzuri wa kuanza Biashara yako
1. Ukiwa bado kijana
Wakuu Ujana ni hazina na ujana ni mzuri sana na watu wengi wanaamini kwambawajasirimali wengi sana Duniani walio fanikiwa walianza wakiwa Vijana wa katiya Miaka 25 hadi 40, na mtakubalina na mimi kabisa, NA KUNA MTAALAMU MMOJA WAMASWALA YA BLOGG ALIWAHI KUSEMA HIVI “ entrepreneursare like pro basketball players. They peak at 25, by 30 they're usually done.”
Sijawahi kukutana na Mjasirimali anae sema lo! Na juta kuanza biashara ni kiwa bado kijana,WENGI WANATAMANI WANGEAZA ZAMANI SANA WANAJUTIA KUPOTEZA MUDA MWINGI SANAWAKIFANYA KAZI ZA WATU NA WAMEANZA BIASHARA WAKIWA NA MIAKA 50 NA KUENDELEA.
2. Ukiwa unateseka/kuhangaika eneo la kazi
Maisha ni mafupi sana kwa wewe kukaa kwenye Benchi na kuteseka,Je unaweza kunionyesha mtu alioko kazini na kutengeneza mabilioni ya pesa na anaichukia kazi yake? Jibu ni hakuna wakuu, na watalamu wengi wa biashara wanasema wajasirimali wengi walio fanikiwa na wenye makampuni makubwa walianzisha kwanza uasi dhidi ya mabosi wao, nadhani hata ukisoma historia yaMichael Dell na Honda kuna ukweli.
Tumia usiku wako wa leo, weekend yako, Lunchi yako na kadhalika kuform idea yako kwa ajiri ya Biashara yako na anza from the ground, na ukisha pata confidence ya kutosha ruka juu zaidi, NINA UHAKIKA HAUTAANGALI NYUMA KAMWE,hata kama utakacho ambulia mwisho wa siku ni pesa kidogo
3. Ukiwa nje ya Kazi
Hamna furaha kama kubadilika kutoka uliko kuwa ukifanya kazina kuja kuwa Bosi wako mwenyewe tuwe wakweli kwa hili everyone who is laid off should not start a business. But a layoff is a great catalyst ifyou're already thinking about making the move,
Watu wengi wanafukuzwa kazi, kuachishwa kazi, mikataba yao kuisha wamekuwa wakiishia kuchanganyakiwa, Mkuu chukulia Kufukuzwa kwakokazi/kuachishwa/mkataba kuisha kama shukurani pekee ya kukupa moto nakukuhamasisha kuanza biashara yako, weka kila kitu mezani, anza leo mkuu wangu
4. Ukiwa huna majukumu mengi,
Mkuu the more responsibility uliyo nayo the less likely is that you will start a business
Nina marafiki wengi sana ambao walikuwa wanazungumza kuanzisha biashara na sasa ni takribani miaka mingi imepita bila vitendo namajukumu yakizidi kuwa makubwa kwao, na wengi wanahisi wamekwisha chelewatayarii,
Mkuu anza biashara yako ukiwa bado huna majukumu mengi,Ukiwa bado na muda wa kutosha, nguvu yakutosha na uhuru wa kutosha.Usisubiri mpaka ukiwa umechelewa sana na wakati ukiwa na majukumu ya kulipapango la nyumba, Billi za umeme, maji, Ada za shule za watoto wako, matibabu yawatoto,Lakini ujijishushe kujifanya mdogo, mkuu ukianza biashara ukiwa na majukumumengi itakuleti down sana, mfano unaweza kuwa unatakiwa ukutane na marafiki wakibiashara saa nne za usiku, huku nyumbani wife au mme hatakuelewa kabisa,atakuona una mzunguka, mara nyingine wakati unapanga kusafiri kibiashara, mtotoataugua, wife ataugua au mme ataugua so inabidi uhairishe safari yako yakibiashara,Mwisho kama weweni single, umeolewa/umeoa but hujapata mtoto, au unafikiliakuoa na kuanzisha biashara na unamawazo ya kuwa mjasirimali hujachelewa fanyahivyo Usiku wa leo, wikendi hii, kabula hujaona umechelewa sana.
5. Wakati ukiwa Intrapreneur/mbunifu mfanya kazi
Wakuu nazani mtanielewa ninacho manisha hapa,Intrapreneur ni mtua ambaye ana act kama entrepreneur, ila tofauti hapa nikwama Intrapreneur huwa ameajiriwa na ni mfanyakazi huku entrepreneur ni mtualiye jiajiri
Wakuu ukiwa kama Intrapreneur/ukiwa umajiriwa na unafanyakazi inakuongezea chansi ya kufanikiwa kibiashara, pindi ukianza, Intrapreneurkatika organization ni mtu ambae ni very creative, mbunifu, mvumvuzi nakazalika, na ni mtu ambae anafanya vitu vipya katika organization,
So mkuu ukiwa hivyo ni wakati mwafaka wa kuanzisha biasharayako mwenyewe kwa sababu kuna orodha ya wajasirimali wengi sana ambao mwanzowalikuwa wafanya kazi na wabunifu naadae wakaona ni bora waanzishe biashara zaowenyewe, Mwanzilishi wa Peps alikuwa mbunifu sana akiwa cocacola, Honda alikuwaakifanya kazi kabla ya kuawa mjasirimali,
Hivyo ukiwa wewe ni mbunifu katika shirika fulani/kampunifulani ni wakati mwafaka wa kuwa mbunifu katika kampuni yako mwenyewe
6. Ukiwa tiyali na wazo lako zuri la biashara
Huu ni wakati mwafaka wa kuanza, pls go on, anza nakimoja kati mtaji na wazo, usisubirie upate mtaji, wakati ni sasa na si kesho,so usiku wa leo, wikendi hii angalia wazo lako linaanza vipi kufanya kazi
7. Ukiwa na mtaji wako
Ingawa hakuna mtaji maalumu wa kuanza biashara make wapowalio anza na sh 1000, wapo walioanza na sh 0 wappo walio anza na mabilioni ya sh,ila kama una mtaji wako tiyali ni wakati wa kuanza biashara yako, usisubirikesho, anza leo
8. Fanya hivyo leo hii
Unaweza jaribukupata muda mwafaka wa kuanza Biashara, Ukiwa mzee,ukiwa kijana, ukiwa tajiri,ikiwa masikini, ukiwa mnene, ukiwa mwembamba, ukiwa na nywele, ukiwa kipara.Ila kwa vyoyote vile utakavyo chagua hapo juu haitakufanya uwe katika nafasi yakushindwa au kufanikiwa,
Mjasirimali anakuja katikasize zote,
Shape zote, miaka yoyote, langi yoyote, Na amini usiamini nchi yetu Tanzaniahaina Monopoly katika kuazisha biashara, Biashara nyingi huanzishwa katika
So lets me make simple for you- The best time to start a business is TODAY,Not tomorrow, Not in two weaks. Not after you get promoted, pregnant, married,or your MBA, TODAY!
See that cliff in front of you that you're scared to go over? Run up to itonce again. But this time, actually jump. What you will find below is the lifeyou wanted to live and all you need to do is get over the fear that's keeping youback.
by KOMANDOO jf
Nimeipenda blog yako kaka nzuri sana
ReplyDeleteHey kaka mimi naitwa MACKEY MAKENYA KABALE NINGEPENDA KUWA Mshilika wako katika blog washilika kwa maana ya kuwa na mi pia ninayo blog yangu ya habari za burudani na ni kwa ligha ya kiingeleza nakuomba kama utakubali email yangu ni mkabale4@gmail.com naomba nijibu ukipata mda tafadhali - MACKEY Ahsante
ReplyDelete