
Ndugu zangu napenda kumshukuru Mungu kwa kuendelea kunipigania mimi na wewe,ametulinda katika hatari za Roho na Mwili
Ndugu yangu leo ningependelea tuone tofauti kati ya MJINGA na MPUMBAVU
Mpumbavu ni mtu ambaye ajui na ajuikama hajui na hataki kujua.lakini mjinga ni mtu ambayeajui kama hajui na anataka kujuaau yuko tayari kujifunzana kuboresha maisha yakekwahiyo nawezakusema zama hizi watu wengi hawako tayari kuwawajinga na badala yake tunakuwa Wapumbavu
kwahiyo ndungu yangu namalizia kwa kusema
KUWA MJINGA NIKULE KUWA NA UJINGA NA KITU CHOCHOTE KILE HAPO NDIPO MTU UNAKUWA MJINGA
Msenge naye ni Nani?
ReplyDeleteNi majani yatokanayo na mpampai yanapatikana kule kwenye shamba la nyanya na mizizi yake ni dawa ya ugonjwa wa akili unaweza kutumia ukapona kabisa ukawa chizi akili ikapoa ikawa baridi barafu
DeleteMhhh goole utakachokutananacho ndo icho
DeleteWewe mwenyewe ni MPUMBAVU ambaye hujui kama hujui maana ya kuandika neno HAJUIA badala yake unaandika AJUI. What the big MPUMBAVU you are.
ReplyDeleteWe nae mpumbavu,HAJUIA ndo nini?
DeleteHUJUIA unamaanisha nini?
DeleteBado hujatoa mifano juu ya ujinga na upumbavu kuna watu hawajakuelewa
ReplyDeleteMJINGA ni mtu ambaye hajui kitu ila akifundishwa ama kuelimishwa anakuwa tayari kubadilika..MPUMBAVU ni mtu ambaye hajui kitu na hayupo tayari kurekebishwa wala kujua kitu.
ReplyDeleteNaona umepaniki
ReplyDeleteTumieni kauli nzuri,ni bora mno,
Deletebado so sijaelewa ma'an ya mbumbavu
ReplyDeleteMpumbavu ni mtu ambaye hanaufahamu na kitu flani, lakini yeye anajiona kuwa anafahamu na hataki kubadilika kwasababu anaamini kile anachokifahamu ndicho ambacho ni sahihi
DeleteMpumbavu ni mtu ambaye hanaufahamu na kitu flani, lakini yeye anajiona kuwa anafahamu na hataki kubadilika kwasababu anaamini kile anachokifahamu ndicho ambacho ni sahihi.
ReplyDeleteSwadataa
ReplyDeleteKweli
ReplyDelete