ASANTE MUNGU KWA NEEMA HII YA AJABU ULIYOTUJALIA,HATUNA CHA KUKUPA.
Ahimidiwe mungu mkuu,mungu muweza,mungu mpaji.MUNGU aketie mahali palipo juu,tunasema asante kwa neema na baraka zake nasema Asante. Kheri na baraka za mwaka mpya ndugu wadau. Barikiweni.
No comments:
Post a Comment